Baada ya kutoa LATINO NATION sasa DJ CHOKA amekuja na wimbo mwingine uliopewa jina la STINGA LI wakufungia mwaka akiwa amewaweka vijana wachache wanaofanya mziki wa bongo fleva wenye maadhi ya Hip Hop wakiwemo Mrap, Dogo, Janja, Country Boy & Young Dee. Pia katika wimbo huu ameweka vijana wawili ambao hawajasikika sehemu yoyote namzungumzia mwanadada anayeitwa MIS RIZZY pamoja na kijana anayeitwa PLUTO.
Wimbo umefanyika pale BHIT’Z STUDIO na Prod Pancho Latino pamoja na Mixing ya wimbo
0 comments