background

SpiceTz

Spice Mag

  • Home
  • Technology
    • Sub Menu 1
    • Sun Menu 2
    • Sub Menu 3
    • Sub Menu 4
  • Follow
  • Music
  • Video
  • Sub Menu 3
  • Contact Us
    • Contact us
    • Follow us on Twitter
    • Find us on Facebook

Facebook Fanpage

Recent Posts

Categories

  • Entertainment
  • LIFESTYLE
  • Movies
  • Nando
  • News
  • RELATIONSHIP
  • Rumor
  • Video
  • music
  • sports
Showing posts with label Ngwear. Show all posts

















watu walijitokeza katika viwanja vya Leaders Club katika harakati nzima ya kutoa heshima ya mwisho ya ndugu yetu msanii wetu na kipenzi cha watu wengi Marehemu Albert Mangwear.

wimbo huu maalum kwa ajili ya kifo cha Ngwea, inaitwa "imeandikwa" ambayo imefanywa na Nikki Mbishi, Shashow, Zilla na Cliff MItindo






Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini akiwemo Mwana Fa, Izzo Business,Kala Pina pamoja na Judith Wambura 'Lady Jayde' wamehairisha shoo zao ambazo zilikuwa zinatarajia kufanyika mwisho wa mwezi huu kwa sababu ya kifo cha msanii mwenzao Albert Mangwea kilichotokea jana nchini Afrika ya Kusini.



Lady Jayde amesitisha shoo yake ya uzinduzi wa albamu yake ya 'Nothing but Trust' iliyokuwa inatarajia kuzinduliwa mwisho mwa wiki hii jijini Dar es Salaam kwa kufwatia kifo cha msanii mwenzake Albert Mangwea aliyefariji jana nchini Afrika ya Kusini



Mwana Fa naye alitarajia kufanya onyesho lake alilolipa jina la The Finest mwishoni mwa wiki hii amejikuta akiahirisha shoo hiyo kwa sababu ya msiba wa msanii mwenzao

Kwa upande wake Izzo Business alieleza sababu ya kuahirisha shoo hiyo, alisema kuwa hawezi kuendelea na ratiba ya shoo hiyo wakati yupo katika wakati wa majonzi kwa kumpoteza msanii wao ambaye pia ni rafiki yao mpendwa .




Song: R.I.P Brother Ngwair

Artists: Mozeh Thomas & Mirror Rhymes

Studio: Overclassic Music

Producer: Eizer


interview na mwenyeji wa marehemu Albert Magwea akizungumzia kifo cha msanii huyo huko Afrika kusini.






Every second of every minute of every hour of every day I need God

— Cowwizy (@ngwair) May 26, 2013


Habari zilizotufikia hivi punde.Mwanamuziki wa Hip-Hop hapa nchini ALBERT MANGWAIR amefariki dunia
LEO huko Afrika Kusini katika hospitali ya Hellena Joseph.
Habari kamali endelea kutembelea blog yetu teamtz.blogspot.com

RIP ALBERT MANGWAIR Every End is A New Begining” R.I.P Bro...GOON TO SOON

Connect With Us

Recommend us on Google!

Popular Posts

  • PHOTOS: Sex Tape Of Zimbabwean Big Brother Representative Leaks
  • SONG: IMEANDIKWA / NIKKI MBISHI SHASHOW ZILLA NA CLIFF MITINDO
  • 5 Luxury Hotels that Offer the Sweetest Escape in Dubai

Spice views

  • Comments
  • Tags
50 cent Barack Obama Big Brother Africa Davido DIDDY DR.DRE Drake Entertainment Feza Kessy hotels images JAY Z kifo cha Ngwear Lady Jaydee LIFESTYLE M 2 THE P MASTER P Movies music Mwana Fa Nando Nelson Mandela News Ngwear Pokello Nare Prezzo RELATIONSHIP RICK ROSS Rihanna Rumor sports The Chase Video

Latest From

About Us

SpiceMag is a Tanzanian website and magazine.Every day we provide you with the very best in business, health, money, beauty, family, fashion and anything else that captivates our attention and everything you would ever need to know or want to look at.

Quick Links

  • DIDDY
  • DR.DRE
  • Entertainment
  • LIFESTYLE
  • Movies
  • News
  • RELATIONSHIP
  • Rumor
  • Video
  • images
  • music
  • sports

Follow Us

Copyright 2013 SpiceTz. All rights reserved.

Designed by Wadafau Crew .