Every second of every minute of every hour of every day I need God
— Cowwizy (@ngwair) May 26, 2013
Habari zilizotufikia hivi punde.Mwanamuziki wa Hip-Hop hapa nchini ALBERT MANGWAIR amefariki dunia
LEO huko Afrika Kusini katika hospitali ya Hellena Joseph.
Habari kamali endelea kutembelea blog yetu teamtz.blogspot.com
RIP ALBERT MANGWAIR Every End is A New Begining” R.I.P Bro...GOON TO SOON
0 comments